top of page
Meet Moropc Team
J.Mengele, Katibu Msaidizi
Nitashirikiana na Katibu Mtendaji ili kuleta tija na mafanikio ndani ya MOROPC
A.Balaigwa, Makamu Mw/kiti
Jukumu la kufikia malengo ya Taasisi ni kwa njia shirikishi,tupo kwa ajili ya kuitumikia jamii na wadau wa habari.
H.Singano, Mhazini Msaidizi
Nidhamu ya matumizi ya raslimali fedha hujengwa katika misingi ya uadilifu.
S.Blasio, Mjumbe
Daima nitatoa mchango wangu wa mawazo ili kufikia ndoto tuliyoikusudia kutimia.
M.Issa, Mjumbe
Uadilifu na uwajibikaji ni silaha ya mafanikio,twende pamoja.
C.Kilewa, Mjumbe
Tutayafikia makundi yote yaliopo pembezoni ili kupaza sauti kwa wasio na sauti.
bottom of page